Fabregas na mpenzi wake wapata mtoto wa kiume
Mchezaji wa klabu ya Chelsea Cesc Fabregas April 5, alithibitisha
kuwa siku ya jumanne usiku yeye na mpenzi wake Daniela Semaan
wamefanikiwa kupata mtoto wa kiume, anaitwa Leonardo Fabregas Semaan.
Huyu ni mtoto wao watatu na wakwanza wakiume.
Mtoto wao wa kwanza ni Lia aliyezaliwa mwaka 2013, wapili ni Capri aliyezaliwa 2015.

Mtoto wao wa kwanza ni Lia aliyezaliwa mwaka 2013, wapili ni Capri aliyezaliwa 2015.
No comments: