Hizi ni nyimbo 3 za Bongo Flava ambazo Victoria Kimani anazikubali
Victoria Kimani si mgeni katika midani za muziki wa Bongo Flava.
Amewahi kuwashirikisha Diamond na Ommy Dimpoz kwenye wimbo wake
Prokoto. Lakini pia anafahamika kwa ukaribu wake na Vanessa Mdee. Na pia
kwakuwa Tanzania na Kenya zipo karibu mno kimuziki, mrembo huyo
husikiliza nyimbo kibao za Bongo Flava.
Hata hivyo, Victoria amezitaja nyimbo 3 anazozikubali zaidi kuwa ni:
AJE – ALIKBA
AY F/ DIAMOND – ZIGO REMIX
Hata hivyo, Victoria amezitaja nyimbo 3 anazozikubali zaidi kuwa ni:
AJE – ALIKBA
AY F/ DIAMOND – ZIGO REMIX
NAVY KENZO – KAMATI
No comments: