Salomon Kalou ashinda tuzo za ‘Duku Film’ ujerumani
Mshambuliaji wa klabu ya soka ya Hertha Berliner ya ligi kuu ya
Ufaransa na timu Ivory Coast, Salomon Kalou ameshinda tuzo ya Duku Film
usiku wa Jumatatu hii.
Kupitia mtandao wa Instagram, Kalou ameweka video inayomuonyesha
akipokea tuzo hizo na kuandika, “Without Struggle There Is No Progress
#SKLEC.”
Tuzo hiyo alikabidhiwa katika tamasha la Berlin International Film Festival.

Tuzo hiyo alikabidhiwa katika tamasha la Berlin International Film Festival.
No comments: