Brand ya African Boy ya Jux inazidi kuongeza bidhaa zaidi. Baada ya
kuachia t-shirts, mabegi, viatu na vingine, Jux ameingiza sokoni mifuko.
Mifuko hiyo ya kubebea vitu mbalimbali ina rangi nyeupe na vishikio vya
rangi nyeusi.
Hiyo ni bidhaa ya aina yake kwa msanii wa Tanzania kuingiza sokoni.
.
No comments: