BABU SEYA NA PAPII KOCHA BREAK YA KWANZA KWA MCHUNGAJI, NI BAADA YA KUTOKA GEREZANI.
December 9 2017 Wanamuziki maarufu Nguza Viking (Babu Seya) na Mtoto wake Papi Kocha waliachiwa huru kutoka kwenye gereza la Ukonga Dar es salaam kufuatia msamaha wa Rais Magufuli kwenye sherehe za miaka 56 ya Uhuru.
Breki ya kwanza ya Wanamuziki hawa baada ya kutoka Gerezani walikokaa kwa miaka 13 kutumikia kifungo cha maisha ilikua ni kumtafuta Mchungaji alipo….
No comments: