New Video: Be Friends Ft. Q Jay - Life Style |Download Mp4
.Lile kundi la muziki la BE FRIENDS limekuja kivingine...limewakusanya wasanii wakali wote wa kagera na kuwanganisha katika ngoma moja kali inatwa Life style. Itazame hapa wakimshilikisha mwanamziki mkongwe wa bongo fleva Q JAY.
HABARI NJEMA KWA KWA WAPENZI WA BURUDANI WA KAGERA.
Reviewed by Oddypais
on
December 06, 2017
Rating: 5
Oddypaistz ni blog inayokupa habari mbalimbali za kijamii... Burudani... Zilizokiki kwenye mitandao ya kijamii... Na story mbalimbali za mastaa wa ndani na nje ya nchi.
Contact: +255769209723
Email: oddypais17@gmail.com
No comments: