.

.

AY amvisha pete ya uchumba mpenzi wake Remy

Hatimaye AY anaelekea kuisaliti kambi ya Ukapela. Alhamis hii rapper huyo ambaye jina lake rasmi ni Ambwene Yessayah, amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake wa miaka mingi, Remy, raia wa Rwanda. 

 Good news ni kuwa, Remy amesema ‘Yes I do.’ Hafla hiyo imehudhuriwa na marafiki na watu wa karibu wa wawili hao.
Hongera AY na Remy kwa hatua hiyo.

No comments:

Powered by Blogger.