Mapacha wa Beyonce, Rumi na Sir Carter hawa hapa
Hatimaye Beyonce amewaonesha watoto wake mapacha, Rumi na Sir Carter. Amewaonesha watoto wake hao na JAY-Z kwenye Instagram Ijumaa hii baada ya kufikisha mwezi mmoja.
“Sir Carter and Rumi 1 month today. ππ½❤️π¨π½π©π½π§π½πΆπΎπΆπΎ,” ameandika Beyonce.
Picha hiyo inatarajiwa kupata likes na comments nyingi pengine kuliko hata ile aliyoitangaza kuwa ni mjamzito.
Watoto hao walizaliwa kabla ya wakati na kupelekea Beyonce kubaki hospitali kwa siku kadhaa.
No comments: