Mwanamke amtaka Usher amlipe $10m baada ya kumwabukiza gonjwa la zinaa
Usher Raymond yupo kwenye skendo nyingine kubwa. Baada ya muimbaji
huyo wa R&B kumlipa mwanamke mmoja dola milioni 1.1 kutokana na
kumwambukiza gonjwa la zinaa (herpes), mwanamke mwingine ameibuka akidai
ameambukizwa ugonjwa huo na Usher na anataka amlipe dola milioni 10.
Mwanamke huyo anadaiwa kukutana na Usher ambaye ameoa huko Atlanta April 16, na kufanya ngono kwa kutumia condon, kwa mujibu wa TMZ. Mwanamke huyo anadai pia alishiriki ngono ya mdomo na Usher Raymond IV wakati huo.
Wawili hao walikuja kukutana tena siku 12 baadaye huko New Orleans, ambapo walifanya mapenzi kwenye hoteli. Mashtaka ya mwanamke huyo yanadai kuwa siku hiyo hawakutumia mpira na Usher hakumweleza kuwa ana gonjwa la zinaa.
Kwenye maelezo yake, mwanamke huyo hajasema kama ameambukizwa, amesisitiza kuwa kama angejua kuwa Usher ana ugonjwa huo asingelala naye. Anasema hakuwa anajua hadi aliposikia kesi ya mwanamke mwingine aliyemuambikiza na kumlipa fidia.
Mwanasheria wake ni Lisa Bloom, yule yule anayemsimamia Blac Chyna kwenye kesi yake na Rob Kardashian.

No comments: