Diva The Bawse: Alikiba alikosea kumwacha Jokate, kapoteza mwanamke bora
Mtangazaji wa Clouds FM, Diva The Bawse haelewani na Jokate Mwegelo,
lakini hiyo si sababu inayomzuia kuyasema mazuri yake.
Diva amesema kuwa, kitendo cha Alikiba kumwacha Jokate Mwegelo, ni kosa analoweza kuja kulijutia baadaye.
“Ali amepoteza a very good thing,” amesema Diva. “She was there to support him, do you remember when everyone was against Ali? Kwahiyo amepoteza a very good thing ambaye angemsaidia vitu vingi in a way of yeye as mwanamuziki wa kiumbe ambaye girls love him, mtu mwenye uwezo wa kumweka sehemu sahihi.
Kwahiyo amepoteza kitu kizuri sana Ali, inabidi afanye kitu arudi pale,” amesisitiza Diva.
“You can see, she was proud, anamsifia anampost, unajua alikuwa ametake risk kiasi gani? Someone is not your husband, and you are there to support him like that and then unasikia wamebreak-up, like what’s wrong with Ali?”
Diva anasema kuwa alidhani kuwa Alikiba angekuja kumuoa Jokate.

No comments: