.

.

Mastaa wamlilia staa wa kundi la Linkin Park Chester Bennington aliyejiua

Muimbaji mkuu wa kundi la Linkin Park, Chester Bennington, amefariki dunia baada ya kujiua akiwa na umri wa miaka 41. Polisi wamesema muimbaji huyo alijinyonga kwenye makazi ya Palos Verdes huko Los Angeles.


Mwili wake uligundulika Alhamis asubuhi. Bennington ameacha watoto sita kutoka kwenye ndoa mbili.
Katika maisha yake yote, staa huyo alikuwa akikabiliana na uraibu wa pombe na dawa za kulevya. Mastaa mbalimbali wanaomboleza kifo chake.
Hawa ni baadhi yao:

Rihanna:
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 Literally the most impressive talent I’ve ever seen live! Vocal beast! #RIPChester #LinkinPark

Timbaland:
Our thoughts and prayers are with @linkinpark and Chester’s friends and family. #RIPChester

Pharrell Williams:
Chester… You and the guys all influenced an entire generation. You went so hard and set so many kids free of their environments and situations. You let NERD open for you in Germany, we’ll never forget that show; YOU CRUSHED IT. The last time I saw you, you gave us chills. Your essence is amongst the stars. Rest now

No comments:

Powered by Blogger.