Vanessa Mdee adai hatoweka uhusiano wake wazi tena, akiri kuendelea kumpenda Jux
Vanessa Mdee amesema kamwe hatokuja kuweka mahusiano yake wazi tena. “In
the future I don’t know kama nitaweka mahusiano yangu wazi tena,”
Vanessa alisema
“Nadhani sababu kubwa sana ambayo ilichangia sisi sometimes kupata misukosuko ni the fact that kila mtu ana opinion, kila mtu ana la kwake la kusema, kila mtu ana mchango wake. So it’s not Jux and Vanessa, it’s Jux, Vanessa and everybody,” alisisitiza.
Hata hivyo Vee amesema ataendelea kumpenda Jux pamoja na kuachana. Amedai kuwa anaamini hata Jux pia anampenda japo wameamua kila mmoja ashike njia yake na kwamba wameendelea kua marafiki.
“I still love him, every day I will, I am sure he still loves me.”

No comments: