Harmonize ajigamba kuhusu nyimbo mpya.
![]() |
HARMONIZE |
Majigambo hayo ameyatoa kupitia ukurasa wake wa instagram ambapo ameandika maneno haya:"NAJARIBU TU KUWAZA HII NGOMA NA HII PASAKA SIJUI ITAKUWAJE HUKO MAJUMBANI.....??? SHOW ME MMMMMMMMMHHH WAMELIAMSHA DUDE.......!!!WATAG MABINGWA WA KUCHEZA HUMU INSTA."
Hata hivyo ujio wa hiyo nyimbo mpya inayoitwa show imeleta maoni tofauti kutoka kwa mashabi wa msanii huyo ambapo baadhi wametoa comments wakidai harmonize amepanic kwa sababu ya ujio wa harmorapa maana ametoa nyimbo mfululizo kwa kipindi kifupi.
No comments: