Professa Jay atoa maneno mazito.
Ni baada ya tukio la kutekwa kwa Roma na wenzie.

April 11, 2017 kupitia ukurasa wake wa Instagram Mbunge wa Mikumi na staa wa Hip Hop Bongo, Joseph Haule ‘Professor Jay’ ameonesha wasiwasi wake juu ya matukio hayo ambapo ameandika maneno haya …
“Dunia pamekuwa sio mahali salama pa kuishi sio kwa sababu watu wabaya wana nguvu sana BALI ni kwa sababu watu WEMA wanakaa kimya na kuacha kukemea mambo mabaya – ALBERT EINSTEIN #Tupaze sauti zetu tulikomboe TAIFA @jongwe.“ – Professor Jay.
No comments: